Posts

Majina ya Rangi (Names of Colours)

Image
Leo, tutajifunza majina ya rangi kwa Kiswahili. ( Today, we’ll learn the names of colours in Kiswahili. ) 1.  Nyekundu- Red 2.  Rangi ya Machungwa - Orange  3.  Manjano- Yellow 4.  Kijani- Green 5. Buluu- Blue 6. Zambarau- Purple 7. Rangi ya Waridi- Pink 8. Kijani Kibichi- Light Green 9. Samawati- Sky Blue 10. Buluu Ya Giza- Navy Blue 11. Kijivu- Grey 12. Fedha- Silver 13.Urujuani - Lilac / Lavender   14. Rangi ya Bahari / Feruzi -Turquoise / Teal / Aqua 15. Rangi ya Mzee/ Rangi ya Mvinyo - Maroon / Burgundy / Wine Red 16. Pinki Kali/ Rangi ya Waridi yenye kung'aa- Fuchsia / Hot Pink 17. Kahawia - Brown 18. Hudhurungi - Light Brown 19. Dhahabu - Gold 20. Nyeusi - Black 21. Nyeupe- White Hizi ni baadhi ya rangi zinazojulikana na kutumiwa sana. Baadhi ya rangi hupokea majina kulingana na vitu vinavyobeba rangi hiyo, kama vile 'Rangi ya Machungwa', ambalo limetokana na tunda la machungwa. ( These are some of the common colors used. Some colors are named after ...