Majina ya Rangi (Names of Colours)




Leo, tutajifunza majina ya rangi kwa Kiswahili.

(Today, we’ll learn the names of colours in Kiswahili.)


1. Nyekundu- Red


2. Rangi ya Machungwa - Orange 



3. Manjano- Yellow



4. Kijani- Green



5. Buluu- Blue


6. Zambarau- Purple



7. Rangi ya Waridi- Pink


8. Kijani Kibichi- Light Green



9. Samawati- Sky Blue



10. Buluu Ya Giza- Navy Blue


11. Kijivu- Grey



12. Fedha- Silver



13.Urujuani - Lilac / Lavender

 



14. Rangi ya Bahari / Feruzi -Turquoise / Teal / Aqua



15. Rangi ya Mzee/ Rangi ya Mvinyo - Maroon / Burgundy / Wine Red




16. Pinki Kali/ Rangi ya Waridi yenye kung'aa- Fuchsia / Hot Pink


17. Kahawia - Brown



18. Hudhurungi - Light Brown




19. Dhahabu - Gold



20. Nyeusi - Black



21. Nyeupe- White




Hizi ni baadhi ya rangi zinazojulikana na kutumiwa sana. Baadhi ya rangi hupokea majina kulingana na vitu vinavyobeba rangi hiyo, kama vile 'Rangi ya Machungwa', ambalo limetokana na tunda la machungwa.

(These are some of the common colors used. Some colors are named after objects commonly associated with them. For instance, the color orange is derived from the orange fruit because it bears that color.)


 

Comments